Samahani, utafiti huu umeshafungwa kufanyika

Utafiti wa kuridhika/kutokuridhika kwa wateja (CSAT).

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linafanya utafiti kujua hali ya kuridhika au kutoridhika kwa wateja.Bonyeza kitufe kuchagua jawabu.1. Sijaridhika kabisa 2. Sijaridhika 3.Sina maoni 4. Nimeridhika 5. Nimeridhika sana
Maswali yaliyowekewa nyota (*) inamaanisha jibu lako ni muhimuo
na taarifa zako binafsi ni siri na kwa matumizi ya utafiti huu tu.

Tafadhali jaza taarifa zako kabla ya kuanza kufanya utafiti


Maswali

1. Je, unafahamu namna ya kupata huduma za TANESCO?  *

   Ndiyo

   Hapana

   Sina maoni2. Kwa kiwango gani unaridhika na muda unaotumika kuunganisha huduma ya UMEME? *

12345
Sijaridhika kabisaNimeridhika sana


3. Kwa kiwango gani unaridhishwa na hali ya upatikanaji na ubora wa UMEME? *

12345
Sijaridhika kabisaNimeridhika sana


4. Kwa kiwango gani unaridhishwa na ununuaji na upatikanaji wa Tokeni za UMEME? *

12345
Sijaridhika kabisaNimeridhika sana


5. Kwa kiwango gani unaridhika na utoaji wa taarifa na utatuzi wa changamoto za UMEME? *

12345
Sijaridhika kabisaNimeridhika sana


6. Kwa maoni au mapendekezo tafadhali tuandikie hapo chini