TUPIME - HUDUMA ZA DHARURA

Ndugu Mteja, Mrejesho wako ni muhimu katika kuendelea kuboresha huduma zetu, Tafadhali TUPIME jinsi tulivyokuhudumia kwa kujaza maswali mawili hapo chini:
Taarifa zako binafsi ni siri na kwa matumizi ya utafiti huu tu.

Tafadhali jaza taarifa zako kisha tupime tulivyokuhudumia




1. Ni kwa kiasi gani umeridhika na jinsi aliyepokea simu yako alivyokusikiliza, kukujali na kukupatia maelezo au kuchukua taarifa zako: *

   Sijaridhika Kabisa

   Sijaridhika

   Wastani

   Nimeridhika

   Nimeridhika Sana



2. Je ni kwa kiasi gani umeridhika na jinsi taarifa yako ilivyofanyiwa kazi na wataalamu wetu? *

   Sijaridhika Kabisa

   Sijaridhika

   Wastani

   Nimeridhika

   Nimeridhika Sana



TANESCO Huduma Kwa Wateja

0748550000