TUPIME - HUDUMA ZA DHARURA

Ndugu Mteja, Mrejesho wako ni muhimu katika kuendelea kuboresha huduma zetu, Tafadhali TUPIME jinsi tulivyokuhudumia kwa kujaza maswali mawili hapo chini:



1. Ni kwa kiasi gani umeridhika na jinsi aliyepokea simu yako alivyokusikiliza, kukujali na kukupatia maelezo au kuchukua taarifa zako: *

   Sijaridhika Kabisa

   Sijaridhika

   Wastani

   Nimeridhika

   Nimeridhika Sana



2. Je ni kwa kiasi gani umeridhika na jinsi taarifa yako ilivyofanyiwa kazi na wataalamu wetu? *

   Sijaridhika Kabisa

   Sijaridhika

   Wastani

   Nimeridhika

   Nimeridhika Sana



TANESCO Huduma Kwa Wateja

0748550000