Utafiti wa kuridhika/kutokuridhika kwa wateja (CSAT)
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linafanya utafiti kujua hali ya kuridhika au kutoridhika kwa wateja. Bonyeza kitufe kuchagua jawabu katika kila swali.
Maswali yaliyowekewa nyota (*) inamaanisha jibu lako ni muhimu
na taarifa zako binafsi ni siri na kwa matumizi ya utafiti huu tu.