Samahani, utafiti huu umeshafungwa kufanyika

UPIMAJI WA HALI YA URIDHIKAJI WA WATEJA NA HUDUMA ZA TANESCO Q1, 2026/2027

TANESCO inategemea maoni yako ili kukuhudumia vizuri zaidi.Tafadhali toa maoni yako kuhusiana na huduma zetu.Taarifa za mtoa maoni zitabaki kuwa siri.
Maswali yaliyowekewa nyota (*) inamaanisha jibu lako linahitajika
na taarifa zako binafsi ni siri na kwa matumizi ya utafiti huu tu.

Tafadhali jaza taarifa zako kabla ya kuanza kufanya utafiti


Maswali

1. Kwa ujumla, unaichukuliaje taswira na sifa ya TANESCO? *

   Nzuri sana

   Nzuri

   Wastani

   Mbaya

   Mbaya sana



2. Ni kwa kiwango gani taarifa, kampeni na elimu zinazotolewa na TANESCO kuhusu huduma, bidhaa na miradi mbalimbali zinakufikia kwa wakati na kwa urahisi? *

   Kwa kiwango kikubwa sana

   Kwa kiwango kikubwa

   Wastani

   Kwa kiwango kidogo

   Hazinifikii kabisa



3. Ni njia ipi ya mawasiliano ya TANESCO unayoiona kuwa yenye ufanisi zaidi katika kukupatia taarifa tafadhali tick njia tatu kubwa uzionazo zinafaa? *

  Simu ya huduma kwa wateja ya bure 180

  Mitandao ya Kijamii

  bulk sms

  Tovuti ya TANESCO

  Makundi ya WhatsApp ya huduma kwenye mikoa na wilaya

  Redio

  Televisheni

  Mikutano ya Wadau

  Ofisi za TANESCO



4. Ni kampeni ipi ya TANESCO imewahi kukufikia na ukaielewa vizuri zaidi? *

   Pika kwa Umeme

   Endesha kwa Umeme

   Lipa Deni, Linda Miundombinu, Tukuhudumie

   Tahadhari za El NiƱo

   Sijawahi kuona au kusikia kampeni yoyote ya TANESCO



5. Kampeni hiyo ilikusaidia kwa kiwango gani kuelewa ujumbe uliokusudiwa? *

   Niliuelewa kikamilifu

   Niliuelewa vizuri

   Wastani

   Niliuelewa kidogo

   Sikuuelewa kabisa



6. Ni kwa kiwango gani unaridhika na hali ya upatikanaji wa umeme katika eneo lako? *

   Ninaridhika sana

   Ninaridhika

   Wastani

   Sijaridhika

   Sijaridhika kabisa



7. Ni kwa kiwango gani unaridhika na urahisi wa kufanya malipo ya huduma za TANESCO (bili, ununuzi wa umeme na malipo mengine)? *

   Ninaridhika sana

   Ninaridhika

   Wastani

   Sijaridhika

   Sijaridhika kabisa



8. Unaponunua umeme (tokeni) kupitia benki au mitandao ya simu, huwa unapokea tokeni kwa wakati? *

   Napokea kila naponunua

   Napokea Mara chache

   Kuna wakati napata kuna wakati sipati

   Sipokei kwa wakati



9.

Unapokuwa na changamoto ya umeme au unapohitaji huduma za TANESCO, ni kwa kiwango gani unaridhika na muda unaotumika kushughulikia ombi au tatizo lako?

*

   Ninaridhika sana

   Ninaridhika

   Wastani

   Sijaridhika

   Sijaridhika kabisa



10. Ni kwa kiwango gani unaridhika na weledi, uadilifu na ukarimu wa watumishi wa TANESCO wanapokuhudumia? *

   Ninaridhika sana

   Ninaridhika

   Wastani

   Sijaridhika

   Sijaridhika kabisa



11. Je ni kwa kiasi gani unaweza kumshauri ndugu, jamaa, au rafiki kuendelea kutumia huduma za TANESCO ambapo 0 (Siwezi kumshauri kabisa) hadi 10 *

012345678910


12. Tafadhali toa maoni au mapendekezo yoyote yatakayosaidia TANESCO kuendelea kuboresha huduma zake. *